
KMK EXECUTIVE GALA
Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi (KMK), inakuletea tamasha kubwa la KMK EXECUTIVE GALA 2025, litakalofanyika
tarehe 09 Aug 2025 katika Ukumbi wa Mw. Julius Nyerere Internation Convension Center (JNICC). Tamasha hili linatarajiwa kufanyika kwa muda wa saa nne kuanzia saa 1800 - 2200 (Kumi na mbili jioni mpaka saa nne usiku). Kwaya Moja Jukwaa moja.
Karibu uungane nasi kwa ticket za:-
Diamond - 200,000
Gold - 100,000
Silver -50,000
Bronze - 20,000
Tiketi zinapatikana kwenye NILIPE APP au kwa namba ya simu 0742000089.
Karibuni sana
KMK EXECUTIVE GALA - The Step of Hope